• info@tamstoa.co.tz
  • +255 717 600 600
  • 2023-10-18
  • Tamstoa

TAMSTOA, leo tarehe 18/10/2023 kikao pamoja na wanacha kushughulikia magari yaliyo shikiliwa upande wa DRC parking 200 pamoja na wisk Takriban kuna magari zaidi ya 250 yeshikiliwa pale kwaajili ya makosa ya wenye migodi lakini wanao teseke ni wamiliki wa malori pamoja na madreva hivyo Tunaiomba serikali ya tanzania kuingilia kati jambo hili.

Share This