Chama cha wamiliki wa malori wadogo na wakati Tanzania (TAMSTOA) Siku ya ijumaa walikutana na DP World kujadili sekta ya usafiriahaji nchini
Dereva Tanzania (www.dereva.co.tz) mfumo wa kazi data wa madereva wote Tanzania.
TAMSTOA, leo tarehe 18/10/2023 kikao pamoja na wanacha kushughulikia magari yaliyo shikiliwa upande wa DRC parking 200 pamoja na wisk Takriban.
Mkutano kati ya latra na police pamoja na TAMSTOA na vyama shiriki tukiongelea changamoto za usafirishaji kwa jia ya barabara, pamoja na chanangamoto za madreva na usajiri
General meeting TAMSTOA 2022 Mgeni rasmi: Naibu Waziri wa ujenzi Location: JOHARI ROTANA
Mkutano na waandishi wa habari leo, kwaajili ya kutoa Taarifa ya changamoto ya foleni iliyopo zambia kasumbalesa na congo DRC.